Picha za Shilole Zazua Gumza Mtandaoni, Mchumba Wake Nuhu Mziwanda Asema Haya Kumtetea
I love you is My Country aka Shilole Kiuno Amejikuta tena leo akiwa
Gumzo la watu mitandaoni baada ya picha zenye utata akiwa jukwaaa
kuzagaa kwenye mitandao mbali mbali na kujadiliwa hasa Instagram.....
Baada ya Picha hizo Kusambaa Mpenzi wake aliingia mtandaoni na kuposti haya maneno kumtetea:
"Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa
stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka
sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini
anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya
kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine wanateleza kwa
stage'huyo paparazi aliopiga picha alifanikiwa kuzoom na kipata picha
mbaya lakin katika hali ya kawaida na watu waliokua wakicheza nae
hawakuweza kugundua lolote'na kiubinaadamu kama muhandishi wa habari
hakupaswa kuchagua picha ambayo kaonekana vibaya mana naamini alipata
picha nyingi nzuri tu za kupost ila aliamua tu kumchafua'So Mashabiki
kumbukeni alikua yupo kazini hakupanga itokee ivyo na yote mradi atoe
burudani nzuri kama mlivyomzoea''ambae hana upeo mdogo wa kufikiria
ataongea shit ila kaa jiulize ingekutokea wewe ungesemaje?naomba
mtusaidie kurepost hii habari'tunawapenda sana"
Haya ni Baadhi ya Maoni ya watu mbali mbali waliokasirishwa na Picha hizo:
MrekebishaTabia
Sitaman hata kuibandika hii picha hapa...kichefuchefu!! hii tabia
chafu iliyopitiliza...na si mara yako ya kwanza @shilolekiuno unafanya
vituko tadhan mtoto mdogo wkt mtu mzima na watoto wakubwa. Si bahati
mbaya amefanya kusudi... mtu mwenyewe kuimba hujui na hata kujiheshimu
unashindwa? Kale kaheshima kadogo ulikonako kwa shabiki zako
utakapoteza, soon tutasikia umerudi kucheza tamthilia. ....Sijui
umekunywa pombe za wapi wewe...!!!
ambassador_angelo
Pole mdada hahaha kazi ndo zilivyobwe kioo cha jamii siku nyingine vaa vizuri sawa mdada mzuri eeeee
mimas_wa_pwiiii
sasa@shiloleliuno kwani hakunaga nguo zenye heshma Dada yangu mbona
hiyo nguo IPO wazi kupitiliza ivi mbona wanaume wanavaa vizuri tu kwenye
shoo zao why nyie madada hamujiheshimu asee hii sibahti mbaya
imekusudiwa nguo yenyewe ni uchi tosha na iyo sidiria ulitegemea Haiti
vukaa ebu jiheshimuni bwana munaboaa tuachieni ujinga wenu stejin kwani
mukivaa nguo zinazo still hapo kidogo mnakuwa hamujui kuchezaa
sheeenzeee zenu wakaa uchi wotee
nyota_ya_warembo
Anamaudhi sana havumiliki kabisa, utavumilia hili baadae anaibuka
najingine aisee tutamvumilia mpaka lini!!!!!! Nampenda sana lakini
anakero sana, niaibu kusema mbele za watu shilole 'nampenda'
watakushangaa
johar_seleman
Afu hapo mbona km kabambiwa ivi mcheki uyo mshua anavomtolea minjicho hahaaaaa ni shigidiiii shidaaa
0 comments