Breaking News: Lori la Mizigo Laangukia Dala Dala Barabara ya Mandela Maeneo ya Tabata..Angalia Picha
Lori la Mizigo lenye namba za usalili T 493 DBR limepiga mweleka na
kuangukia basi la abiria aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T 104
BCT lifanyalo safari zake kati ya Gongo la Mboto mpaka Simu 200 mapema
leo asubuhi katika ma kutano ya barabara ya Tabara na Mandela, jijini
Dar es salaam. Hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hii ila kuna watu
kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Category: habari
0 comments