Masogange: Mnapoteza muda kunijadili
Video Queen maarufu Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ amewataka watu
kufanya kazi na kuacha kumjadili kwani kwa kufanya hivyo wanapoteza
bure muda wao.
Akiteta na GPL, Masogange alisema watu wamekuwa hawafanyi mambo yao
binafsi bali kujadili mambo ya watu wengine kitu ambacho siyo sahihi.
“Mimi naona wanapoteza muda tu kunijadili, wangefanya mambo yao
wangeweza kuendelea kuliko kunijadili mimi hapa naona watachelewa kwenye
mafanikio yao,”...
Category: udaku
0 comments